Jfish Julius Hunter Nyandindi kutokea mbeya ameunda kundi jipya la kazi za muziki N-S-B
Jfish Julius Hunter Nyandindi ni msanii anae fanya vizuri katika sanaa ya muziki wa hip hop nyanda za juu kusini na tanzania hivi karibuni alitangaza ujio wa kundi jipya katika tasnia ya muziki wa hip hop nchini. Msanii huyo aliyasema haya katika mitandao ya kijamii "Napenda kutambulisha rasmi kundi langu la N-S-B likiwa limejumuisha watu watano
1- J. FISH
2-MARKMOSH
3-TAIVINA
4-B. DESGNER
5-MAALIM SBK
Na hiyo ndo list sahihi ya crew yangu
Kama unahisi unaweza vizuri mziki hakika nitafute tutashirikiana kwa mengi
BY
N-S-B PRESDENT
#MGUU. Wa. #SIMBA" aidha msanii huyo amejaribu kuwahakikishia mashabiki wa muziki wake watarajie makubwa kutoka katika kundi hilo na anawaomba muendelee kumsapoti katika kazi zake na kundi lake hilo jipya
Hakuna zaidi ya kumuomba mungu imani IPO tutafika together as one...bro
JibuFuta