Picha,Zawadi kubwa aliyopewa Kobe Bryant na rapa Snoop Dogg.
Rapa Snoop Dogg ni miongoni mwa mashabiki wakubwa wa mpira wa kikapu NBA nchini Marekani haswa timu ya Lakers na mchezaji wake kipenzi alikuwa Kobe Bryant.
Baada ya Kobe aka Black Mamba kutangaza kustaa kwa kusema ‘Mamba Out’ Snoop amempa gari classic staa huyu ambalo lina picha ya Snoop akiwa amevalia jezi ya Lakers na kushikilia kikapu cha Larry O’Brien.
Gari hili lina rangi za Laker nje na ndani na wakati anapewa Snoop aliandika Instagram “The gift that keeps on giving,Enjoy it mamba.”
0 maoni:
Chapisha Maoni