Picha,Kobe Bryant akanusha kuvutishwa bangi na Snoop Dogg.

Mcheza kikapu mstaafu wa timu ya Lakers Kobe Bryant amekanusha kuwa alivutishwa bangi na rapa Snoop Dogg hivi karibuni baada ya picha akiwa na macho mekundu kusamba mitandaoni.
Kobe anasema aliongea tu na Snoop na kuchukua zawadi yake, picha iliyosamba mitandaoni imetengenezwa tu na Photoshop ila hakuwa na macho mekundu. Mwakilishi wa Kobe alisema “The picture is not real. He wasn’t smoking!”

0 maoni:

Chapisha Maoni