Picha: Utaupenda ujumbe wa Lulu akiwa na Majay
Mshindi wa tuzo ya AMVCA 2016, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na CEO wa EFM, Dj Majay, wameamua kuuonyesha umma ni jinsi gani wako karibu zaidi.Wawili hao ambao kwa sasa mahusiano yao yako wazi zaidi, wamekuwa wakishare picha mbalimbali wakiwa pamoja katika mitandao ya kijamii na kuonyesha jinsi wanapendana.
Hapo awali, Majay alikuwa anatoka kimapenzi na Hamisa Mobeto na walibahatika kupata mtoto wa kike, Fantasia.
0 maoni:
Chapisha Maoni