PICHA: Msanii Ciara amefunga ndoa na mpenzi wake Russell Wilson
Its Official kwa mashabiki wote wa Cici aka Ciara kuwa amefunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni mwanamichezo mkubwa nchini Marekani Russell Wilson.Cici na Russell wamefunga ndio Uingereza jumatano ya 6 July 2016 na sherehe hii ndogo imeudhuriwa na msanii wa rnb Jennifer Hudson na Kelly Rowland
Cici amevaa gauni la Roberto Cavalli nakupendeza mbele ya mumue wake Russell Wilson mchezaji wa Seattle Seahawks.
Taarifa zinasema Ciara na Wilson walichukua cheti cha ndoa wakiwa Marekani mapema kabla ya kufika Uingereza.
0 maoni:
Chapisha Maoni