Picha,laki saba za kibongo zimetumika kwenye bra ya Mariah Carey.

Mariah Carey na mpenzi wake ambaye ni Bilionear James Packer wamekuwa kwenye mahusiano kwa miezi 13 tu ila bata wanalokula ni kama wanajuana kwa muda mrefu zaidi.
James Packer mwenye miaka 48 kutoka Australia amekuwa akimnunulia vitu vya thamani Mariah kama njia ya kuonyesha mapenzi moto moto kwake na hivi karibuni Mariah kaonekana akiwa amevalia BRA yenye thamani ya dola 400 za Marekani au Pound £295 za Uingereza. Bra hii ni ya Agent Provocateur ‘Raive’ bra

0 maoni:

Chapisha Maoni