Ciara asema mume wake anampe mambo flani vizuri sana.
Russell Wilson anaonekana kuwa mtu aliyefanikiwa kwenye kila alichotaka kitokee kwenye usiku wa harusi yake na Ciara.Russell na Cici walifunga ndoa Uingereza mjini Liverpool na baadae Cici aliweka video fupi snapchat akiongelea usiku wake wa kwanza na mume wake huku akisema “Amepewa mambo mazuri sana kitandani”
Video hio iliwekwa baada ya tetesi kuwa hawakuwa na raha baada ya kufunga ndoa kutokana na ugomvi uliotokea chumbani kwao.
0 maoni:
Chapisha Maoni