Picha: Akothee afunga ndoa na mchumba wake raia wa kigeni
Muimbaji wa Kenya, Esther Akoth maarufu kwa jina la Akothee amefunga ndoa weekend hii.Muimbaji huyo wa ‘My Sweet Love’ aliomshirikisha Diamond sasa ni mke halali wa mchumba wake ambaye ni raia wa kigeni.“I am that woman who goes for what I wants & not what’s available, it’s my black beauty that caught his mouth Zero , irrespective of the no of children I have , he has taken me wholesale & I have welcomed him in my family , live once & live like#madamboss for richer for richest , my bed is warm now (you the papa of my pikin ) he is my King & am his queen in our small queendom!,” ameandika.
Akothee ni mmoja kati ya wasanii wa kike matajiri kwenye ukanda wa Afrika Mashariki.“#madamboss , no apologies yes I do, honey are you coming with me to #luofestival “YES I DO ,” amejitapa kwenye kipande cha video aliyoipost kwenye mtandao wa Instagram.
0 maoni:
Chapisha Maoni