Nyumba ya milioni 700 wanayojenga Navy Kenzo

Biashara ya muziki imekuwa na faida kubwa ukilinganisha na miaka ya nyuma, nimeipata good news ya wasanii wanaounda kundi la Navy Kenzo (Aika & Nahreel) kuhusiana na kuanza ujenzi wa nyumba yao yenye thamani ya milioni 700
Navy kenzo wamesema “Mwaka huu ni mwaka ambao umekuwa wa mafanikio na tumefanya vitu vingi pamoja na tour na tumepata dili nyingi ambazo zimetuingizia pesa, ndio tulikuwa na mipango ya kujenga nyumba toka zamani na imefikia wakati tumeanza kujenga, hii ni nyumba ambayo tumebuni mimi na Aika na itagharimu milioni 700 hadi kuisha”

0 maoni:

Chapisha Maoni