Shetta asema ushindani uliopo kwenye muziki umemfanya aogope kutoa ngoma mbaya
Hit maker wa wimbo ‘Namjua’ Shetta amefunguka kwa kusema kuwa yeye ni
mmoja kati ya wasanii ambao hawajawai kutoa ngoma mbaya katika maisha
yake ya muziki.
Rapper huyo amewataka mashabiki wa muziki wake kubiria surprise ya wimbo wake mpya baada ya ‘Namjua’ kufanya viruri.
Jumapili hii, Shetta amesema biashara ya muziki imefanya afanye
muziki wa kushindana kila siku ndio maana kila akitoa ngoma anahakikisha
ni kali.
“Shetta sasa hivi ni mfanyabiashara, muziki wangu ni bidhaa adimu
ndio maana mimi sijawai kutoa ngoma alafu isifanye vizuri, ni hit baada
ya hit na ndo maisha yangu kwa sasa, na nitaendelea kufanya hivyo,”
alisema Shetta.Rapper huyo amewataka mashabiki wa muziki wake kubiria surprise ya wimbo wake mpya baada ya ‘Namjua’ kufanya viruri.
0 maoni:
Chapisha Maoni