Mawili mapya kuhusu Selena Gomez na Justin Bieber,,mmhhhh

Dj maarufu Dj Snake amethibitisha kuwa Selena Gomez ambaye ni Ex wa Pop staa Justin Bieber alirekodi Remix ya wimbo wa What Do You Mean wa JB
Selena Gomez alionekana mara ya mwisho kwenye eneo moja na Justin Bieber kwenye show yake ya Purpose mwaka huu mwezi wa March.
Kwa mara ya kwanza kwa muda mrefu kupitia Snapchat yake Selena Gomez amethibitisha kuwa amerekodi sauti zake kwenye wimbo wa “Let Me Love You,” wa DJ Snake ambao pia kashirikishwa Justin Bieber.
DJ Snake amethibitisha pia kuwa kuna remix ya What Do You Mean iliyofanywa na Selena Gomez.
JE WATARUDIANA HAWAA?

0 maoni:

Chapisha Maoni