Desiigner afunguka dau alilonunulia beat ya ‘Panda’

Rapper wa Marekani Desiinger ambaye anafanya vizuri na single yake ya ‘Panda’, hivi karibuni alisema aliununua mdundo wa wimbo huo kwa kiasi cha dola $200 ambayo ni kama laki nne na nusu hivi za kibongo.
 

0 maoni:

Chapisha Maoni