Aliyekuwa msanii wa Destiny Child atengana na mume wake miezi miwili baada ya kufunga ndoa.

Aliyekuwa msanii wa kundi la Destiny Child LeToya Luckett ametengana na mume wake miezi miwili baada ya kufunga naye ndoa ya siri.


Letoya na Rob Hillman walifunga ndoa January mwaka huu na mpaka sasa talaka yao imekamilika.
Kwa mkataba waliosaini mahakamani wawili hawa hawaruhusiwi kuweka au kutoa picha,maelezo na ujumbe wowote mitandaoni kuhusu mahusiano yao kabla, wakati na baada ya talaka.

0 maoni:

Chapisha Maoni