Huyu ndio msanii aliyetaka kumsimamia Kanye West toka akiwa sekondari.
Kwenye interview hivi karibuni kuhusu muziki wake ulikotoka na
unapoelekea rapa na producer Kanye West ameongelea wakati flani kwenye
maisha yake alipokuwa bado anaishi nyumbani kwa mama yake bila pesa hata
za kumtoa mpenzi wake…
Kanye West anasema “Nakumbuka nilivyokuwa sekondari nilifukuzwa kazi, sikuwa na pesa hata za kunyoa nywele, sikuweza kumtoa mpenzi wangu hata kutazama filamu na bado nilikuwa naishi kwetu ndipo nilipokutana na R Kelly na kumsikilizisha muziki wangu, aliniambia atanisaini kwenye lebo yake baada ya miezi mitatu”
Kanye anatajwa kuwa miongoni mwa wasanii waliopitia wakati mgumu wakati anatoka kama producer na msanii.

0 maoni:
Chapisha Maoni