Drake anazidi kuweka historia kwenye chati za Billboard,Gucci Mane je…

Rapa Drake anazidi kuweka historia kwenye chati za billboard kupitia album yake ya Views kwa kukaa namba moja kwa wiki 12.
Album hii sasa imevunja rekodi za wasanii kama Taylor Swift ‘Wiki 11 na album ya 1989, Views imakaa kwenye namba moja wiki nyingi zaidi bila kushuka na kupanda zaidi ya album ya Adele ’21’ iliyokaa wiki 24 ila kwa kupanda na kushuka toka mwaka 2011-2012.
Wiki Hii kwenye Billboard 200 Top 10
1. Drake – Views – 85,000
2. Gucci Mane – Everybody Looking – 68,000
3. Twenty One Pilots – Blurryface – 36,000
4. Rihanna – ANTI – 33,000
5. Epic AF – 31,000
6. Sia – This Is Acting – 30,000
7. Adele – 25 – 29,000
8. Hamilton – 27,000
9. Beyoncé – LEMONADE – 26,000
10. Meghan Trainor – Thank You – 22,000

0 maoni:

Chapisha Maoni