kaa mkao wa kula video kali kutoka kwa msanii wa hip hop zax b ipo njiani

Yule mkali anayekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki wa hiphop kutokea nyanda za juu kusini mbeya maarufu kama greencity zax b.
Mkali huyo ametangaza rasmi ujio wa video mpya ya ngoma yake mpya aliyotoka kuichai wiki chache zilizopita ngoma hiyo ilikwenda kwa jina la UWEZI KUNILETEA BALAA iliyofanywa na mikono producer GACHI kutokea pande za mbeya the green city na kufanya vizuri kwenye chati mbalimbali za vipindi vya redio na tv nchini pia mkali huyo aliwahi kutamba kwenye tansinia ya muziki wa hiphop na ngoma kama ACHA KUNIZALAU na TARAKA. .
Pia mkali huyo amesema siku rasmi ya kuachia video hiyo ni July 12 mwaka huu pia amchukua nafasi hiyo kutoa shukurani kwa mashabiki wake kwa kuzipokea vizuri kazi zake na kwa wanamsapoti kwa kila anachokifanya katika muziki wake.

0 maoni:

Chapisha Maoni